Kuna video niliona kuwa Mororola wameanza kuiharibu UI yao na adsSahihi, OnePlus ilikua inatoa clean option kwa watu wengi Ila sasa hivi Oppo anawaingilia Sana na kuna tetesi soon itafungwa, maybe Motorola still inatoa hio clean experience. Google Wana clean software ila hardware zao ni so and so.
Hivi kwa nini Wachina wanashindwa ku compete na Global Market?Umenena tena hyper os 3imekuja na mazuri mengi sana, kuna habari mbaya kuhusu oppo kujitoa kwenye soko la kimataifa atabaki tu China hivo watumizi wa oxygen os wanakwenda kupotea soo
Hawataki kulipa tech za watu wanazotumia, Oppo alikuwepo Global alivyoingia masoko makubwa wakamshtaki akakimbia.Hivi kwa nini Wachina wanashindwa ku compete na Global Market?
Ni Xiaomi peke yake ndio ameweza, labda na One Plus.
Dunia inaenda kasi sana leo kijana atakiwe amiliki simu ya 2,3,4mill!!!Kwa ulimwengu wa sasa kijana ambaye ni artistic(digital content creator). Kumiliki professional smartphone ni muhimu sana,
Hizi za million 2,3,4.
Mkuu leo nimeona kuna simu inaitwa Redmi Red Magic 10, hizi simu bongo zipo? Na bei yake inaweza ikawa inarange kiasi gani? Nimeona tu video za huko nje ila nimetokea kuielewaSahihi, OnePlus ilikua inatoa clean option kwa watu wengi Ila sasa hivi Oppo anawaingilia Sana na kuna tetesi soon itafungwa, maybe Motorola still inatoa hio clean experience. Google Wana clean software ila hardware zao ni so and so.
Hazipo, red magic ni Zte, Kama Huawei zina ban Nchi nyingi. Mpaka uagizishie toka nje.Mkuu leo nimeona kuna simu inaitwa Redmi Red Magic 10, hizi simu bongo zipo? Na bei yake inaweza ikawa inarange kiasi gani? Nimeona tu video za huko nje ila nimetokea kuielewa
Dooh, basi tena.Hazipo, red magic ni Zte, Kama Huawei zina ban Nchi nyingi. Mpaka uagizishie toka nje.