kipoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2012 Posts 370 Reaction score 296 Sep 13, 2015 #1 Msaada wanaJF, Nasikia unga wa habbat sawda (Habat Soda) unatibu magonjwa mengi sana, kwa anayejua naomba anisaidie ili niweze kuupata, pia mafuta yake!
Msaada wanaJF, Nasikia unga wa habbat sawda (Habat Soda) unatibu magonjwa mengi sana, kwa anayejua naomba anisaidie ili niweze kuupata, pia mafuta yake!
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,961 Reaction score 5,460 Sep 13, 2015 #2 Maduka ya dawa za asili
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,961 Reaction score 5,460 Sep 13, 2015 #3 Google black seed utapata kila unachokihitaji kuhusu habat sawda, mimi natumia black seed oil inanisaidia sana ni pm
Google black seed utapata kila unachokihitaji kuhusu habat sawda, mimi natumia black seed oil inanisaidia sana ni pm
mnang'umba JF-Expert Member Joined Jun 26, 2015 Posts 471 Reaction score 150 Sep 13, 2015 #4 Inakusaidia malazi ndugu