Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Habari Za Usiku Wakuu..
Aisee! Dodoma huku makao makuu ya nchi mvua inanyesha balaa.
Sasa Tuje kwa Mada Hivi kama Pindi tu unazailwa Tusingekuwa Tunapewa majina Ya mtoto au kumpa jina la muda (Temporary)
Swali langu je kama Ungepewa nafasi ya kuchagua jina ungechagua jina ulilonalo sasa au ungebadilisha?