Je, ungekua wewe ungechagua adhabu gani?

Mahakama ya wapi iyo ambayo inatoa masharti. Navyojua mimi ni kuwa mahakama zetu zinatoa hukumu na sio masharti
 
Wangemuonea huruma huyo kichaa kwa kumpata mtu wa kumpinguzia nyegge
 
Afungishwe ndoa tu si alikuwa anafanya nae na mapenzi awe ss mpenzi wake wa maisha
 
Hio picha ,tukio lilitokea Zambia sio Tanzania.

Ni ya muda tu.
 
Hapo ana kesi ya ubakaji,
Nyundo 15 zinamhusu, vinginevyo aseme ana mahusiano nae.

Ambapo atalazimika kuyahalalisha (ndoa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…