Naomba kuuliza je? Haya makaburi ya kujengea uimara wake yatadumu muda gani?
Mm nimeshuhudia maranyingi makaburi ya zege ila nina mashaka na uimara wa hizo zege mkumbuke kaburi ni la milele.
Mm napendelea kufukia na udongo maana inaendana na uhalisia nyumba ya milele, je haya makaburi ya zege baadae hayatahitaji marekebisho miaka ya mbeleni?