iddy eba
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 573
- 1,171
Watu wamekuwa wakijiuliza sana UPENDO maana yake nini. Je upendo ni nini?
UPENDO ni basi la mkoani linalofanya Safari zake Dar es Salaam kwenda Iringa na Iringa kuja Dar es Salaam
Kama una tafsiri nyingine bora kuliko hiyo, kama kawaida pambana na hali yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]