teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Gari nyingi huwa wanaandika mlangoni kwenye frame, tyre pressure za tyres zote zinatakiwa kuwaje.Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma? Na je niqeka upepo mf nyuma 50 na mvele 40 kutakuwa na madhara gani na nini faida ya kuweka upepo sawa? Natanliza shukrani kwa watakaochangia
😂😂😂😂
Mguu wa jini ni upi?Mbele 35
Nyuma 40
Mguu wa Jini 70.
Angalia kwenye mlango wa mbele wa dereva wameandika.
Mostly ni 35PSI mbele na 30PSI nyuma, kutegemea na tyre na gari.
Nadhani Mbele ni kuzito zaidi si Kuna engine...Mimi nilikua najua nyuma ndo unatakiwa uwe PSI kubwa kuliko mbele
Nadhani Mbele ni kuzito zaidi si Kuna engine...