Je, upi utaratibu mzuri wa kugoma nchi nzima?

Shida, dhiki, taabu, majuto, huzuni, hasira, kudhulumiwa, kuuzwa, kutukanwa, kupuuzwa, kutothaminiwa, kudharauliwa, kutosikilizwa, kusalitiwai, kutishwa, kudanganywa, kudhihakiwa, kukejeliwa, kukebehiwa, n.k.

Kusimangwa, kuzodolewa, kupigwa changa, kufanywa zuzu, kufanywa misukule na CCM.
 
Shida, dhiki, taabu, majuto, huzuni, hasira, kudhulumiwa, kuuzwa, kutukanwa, kupuuzwa, kutothaminiwa, kudharauliwa, kutosikilizwa, kusalitiwai, kutishwa, kudanganywa, kudhihakiwa, kukejeliwa, kukebehiwa, n.k.
Tatizo matanzania mengi ni maoga, majinga na tumerogwa wote! Hii nchi imejengwa juu ya misingi ya ushirikina na uchawi! Wakati wa mapambano ya kupigania uhuru ushirikina ulihusika! Hata hivyo, viongozi wetu wengi wamewekwa na shetani kupitia waganga wa kienyeji!

Usalama wa taifa wako vizuri na makini kuzuia tukio lolote linaloweza kuhatarisha vibarua vya mabwana zao lakini ni majinga ya mwisho linapokuja swala kulinda na kutetea mali za taifa kuchezewa hovyo

Wazo lako ni zuri, nasikitika ni ngumu kutekelezeka!
 
Nchi za kiafrika ukitaka kuandamana uwe tayari kubeba silaha, zaidi ya hapo tulia ujenge nchi
 
Mimi nafikiri wale wafanyabiashara wa kariakoo na sehemu nyingine muhimu kwenye kodi Tanzania nzima wagome kufungua maduka yao, ili tuwe na vikao vya ana kwa ana.
 
Ko unasubiri wa kulianzisha πŸ˜€πŸ˜€
Ndoivyo...ipo siku tu watu watalianzisha tena inaweza ikaanza kwasababu ndogo sana ambayo inaweza hata isiwe ya kisiasa ila watu ndo wakapitia humo na kufanya maafa makubwa sana
 
Nina mashaka sana na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.......SIO VILE ALIVYOACHA MWL.NYERERE
 
Mimi nafikiri wale wafanyabiashara wa kariakoo na sehemu nyingine muhimu kwenye kodi Tanzania nzima wagome kufungua maduka yao, ili tuwe na vikao vya ana kwa ana.
Angalau walijaribu.....Lakini bado kuna shida kidogo tu pahala.......kwa sasa mawasiliano yamerahisishwa ...sijui nini kinashindikana kufanyika kimya kimya .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…