DaudiAiko
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 372
- 310
Wanabodi,
Mapungufu ya uchaguzi yapo, na yamekuwepo kwa muda mrefu sasa. Mapungufu haya kwenye chaguzi yoyote huanza kwenye kuboresha daftari la wapiga kura mpaka hatua ya kuhesabu kura.
Kwa kuweza kujisajili na kupiga kura kwa njia ya kielektroniki labda tunaweza kutatua changamoto ya wizi wa kura na kuongeza idadi ya wapiga kura.
Kama uwezekano wa kuwa na mfumo salama ambao hauna hitilafu yoyote za kiufundi upo basi uchaguzi utawajumuisha watanzania wengi zaidi na kuwezesha serikali kupata takwimu mbalimbali muhimu. Mfumo huu ukitumiwa vizuri pia unaweza kuwezesha serikali kufanya tafiti za maoni kutoka kwa wananchi. Tofauti na kuwa na uwezo wa kupiga kura kila baada ya miaka mitano tu, wananchi wanaweza kujumishwa zaidi kwenye masuala ya nchi kuwa kupiga kura za maoni