je upo uwezekano wa mwanamke kupoteza uzazi kwa hili?

uru classic

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
120
Reaction score
15
1.kuugua kwa tumbo au maumivu ya tumbo mara kwa mara?
2.Kufanya mapenzi na mwanaume kwa muda mrefu mwendo wa masaa 2na kuendlea bila kuchoka?.
3.kutoona siku za hatari(danger zone).kwa mda na kurejea tena?haya n maswahiba yanayomkuta rafki wakarbu tunaomba busara yako.
Na pia kwa docta almtaadharisha.na kumpa dawa za kutumia.JE KUNAUSALAMA HAPO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…