Tare he 11. 02. 2014 usaili
ulifanyika kwa
walioomba scholarship za tgcl.
Chakushangaza ni mda mchache
uliotumika
kwa Kila mtu kuhojiwa, yani dk5
tu. Maswali
ya kujiuliza ni: je huu usaili ndo
itatumika
kama kigezo cha kupata au
kukosa nafasi?
Nini kiliazingatiwa ndani ya mda
huo? Kama
Kuna vigezo vingine wazoefu
tupatieni.
Karibu tujadili