babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Sitaki salamu Moja Kwa Moja kwenye mada,
Jumapili kwenye mkutano mkuu wa klabu ya Simba, wakati tukisomewa mapato na matumizi ya klabu, tulitangaziwa kuwa imetumika Tsh bilion 2 kufanya usajili msimu huu. Je, huu usaliji wa hawa wachezaji tulionao unaendana na kiasi hicho cha fedha?
Hawa kina Kyombo, Kapama, Okrah, Akpan, Sawadogo, Baleke na Saido ndio tunaoambiwa imetumika bilioni 2 kusajili?
Kwa hesabu za haraka haraka ni hivi uongozi unataka kutuambia kuwa imetumika milion 300 kwa kila mchezaji hapo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
Kama Manzoki tulishindwa kumsajili kwa kushindwa kuvunja mkataba wa Mil 300 imewezekanaje tumenunua hao wachezaji kwa bilion 2?
Yaani hawa wachezaji ambao wengi wao ni free agent na wengine tumepewa mkopo ndio itumike bilion 2?
Wanasimba tuhoji haya ndio mambo ya msingi kwa maendeleo ya klabu yetu.