Je, Usajili huu wa Simba umegharimu Billion 2? Hapa kuna upigaji mkubwa sana

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Sitaki salamu Moja Kwa Moja kwenye mada,

Jumapili kwenye mkutano mkuu wa klabu ya Simba, wakati tukisomewa mapato na matumizi ya klabu, tulitangaziwa kuwa imetumika Tsh bilion 2 kufanya usajili msimu huu. Je, huu usaliji wa hawa wachezaji tulionao unaendana na kiasi hicho cha fedha?

Hawa kina Kyombo, Kapama, Okrah, Akpan, Sawadogo, Baleke na Saido ndio tunaoambiwa imetumika bilioni 2 kusajili?

Kwa hesabu za haraka haraka ni hivi uongozi unataka kutuambia kuwa imetumika milion 300 kwa kila mchezaji hapo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].

Kama Manzoki tulishindwa kumsajili kwa kushindwa kuvunja mkataba wa Mil 300 imewezekanaje tumenunua hao wachezaji kwa bilion 2?

Yaani hawa wachezaji ambao wengi wao ni free agent na wengine tumepewa mkopo ndio itumike bilion 2?

Wanasimba tuhoji haya ndio mambo ya msingi kwa maendeleo ya klabu yetu.
 
Sasa milioni 300 ni jambo la kushangaza kwa wachezaji wa kigeni?
Performance inakuja baadae timu nyingi tu zimefeli mbona pesa ya usajili kubwa performance mbovu
 
Ujinga ni kutojua kwamba kuna wachezaji pia wameongezewa mikataba yao kama Manula na Onyango.Vipi sakata la Sports Pesa linawatoa mavi umeleta hii kukwepesha mada.Wanachama wa Simba hawana wasiwasi wewe kiherehere ndio unateseka.Feisal amelipwa?Yule mchezaji Birigimana wa milioni 700 kashaondoka?
 
Sasa milioni 300 ni jambo la kushangaza kwa wachezaji wa kigeni?
Performance inakuja baadae timu nyingi tu zimefeli mbona pesa ya usajili kubwa performance mbovu
Hebu nitajie mchezaji gani wa kigeni kwenye hao niliyoorodhesha amesajiliwa iyo ela?
 
Ogopa sana unaambiwa Gabacholi katoa Billion 20 kununua nusu ya hisa zote za Club alafu club husika inaingiza Billion 12 kwa mwaka πŸ˜‚
 
Ogopa sana unaambiwa Gabacholi katoa Billion 20 kununua nusu ya hisa zote za Club alafu club husika inaingiza Billion 12 kwa mwaka πŸ˜‚
Afadhali huyo tunaambiwa.Kuna klabu imekuwa kampuni tanzu ya GSM. Hamna mapato wala matumizi yanayotangazwa.Jezi zinauzwa na mshihiri na kibaraka wake msomali hakuna mapato yanayotangazwa.Migongo wazi haidiriki kuuliza maswali.Wanachama wanaburuzwa wakisema kitu wanaambiwa wameshiba mihogo.
 
Hapa tayari shabiki wa simba umepanic πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We ndio wale mbumbumbu aliowasema mwenyekiti wetu mstaafu Aden Rage.
Kwanza una kadi ya Uanachama ya Simba? Unajua Manzoki tulishindwa kumsajili kwa kushindwa kulipa Mil 300?
 
Hata vichaa wa milembe wanajua Simba ni klabu ya watu mbumbumbu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchezaji mstaafu wa Newcastle anadai milioni 700.Tunatumia akili au uharo sisi Utopolo?
We mkia acha kujitoa akili, huyo shabiki mwenzako mwenye uchungu na Simba ameuliza hao wachezaji wa bilion mbili ndio hawa kina kapama na okwa? Naona unatoka nje ya Uzi
 
Simba ilizikwa pale Hans Pope alipokufa. Hawa viongozi waliobaki ni wapigaji tu ndio maana tumekuwa wanyonge wa utopolo ndani hadi nje ya Uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…