Hivi Mzee mwenzangu inaitaji uwe na PhD kutoka Harvard university kuelewa hapo Simba hakuna mchezaji hata wa milioni 150 kama zile za Mo Xtra?Wewe kama unajua hao wachezaji walinunuliwa kwa pesa ngapi tuwekee ushahidi wako hapa tuuone, sio unatuletea hisia zilizochanganyika na kelele nyingi, kukataa unachoambiwa wakati wewe hauna ushahidi wowote ni uzwazwa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Msomali anasaini mkataba juu ya mkataba mwingine !Ndio mavi yatawatoka mlidhani Sports Pesa ya Tarimba.?Bado siku 2?
Tuwekee ushahidi hapa wa pesa iliyowanunua tuuone, kama hauna nawe ni zwa...🫣🫣Hivi Mzee mwenzangu inaitaji uwe na PhD kutoka Harvard university kuelewa hapo Simba hakuna mchezaji hata wa milioni 150 kama zile za Mo Xtra?
Huu ujumbe auone OKW BOBAN SUNZU. 😂Tuache kwanza sisi mashabiki wa Simba tuko tunahangaika na mkataba wa Sportpesa kwasasa.
Mimi tena nilete ushahidi? Yaani hujui hata kilichojili mkutano mkuu wa klabu yako, unatakiwa uwahoji uongozi walete ushahidi wa hao wachezaji wa bil 2 ni wapi? Mimi nimewtafunia tu kuwa wachezaji wetu tuliosajili ndio Hawa kina kapama, kyombo, akpana, okwa, okrah sawadogo, baleke na Saido na wengi wao haponi free agents na wachezaj wa mkopoWewe kama unajua hao wachezaji walinunuliwa kwa pesa ngapi tuwekee ushahidi wako hapa tuuone, sio unatuletea hisia zilizochanganyika na kelele nyingi, kukataa unachoambiwa wakati wewe hauna ushahidi wowote ni uzwazwa tu, na wale wote wanaokushangilia ni mazwazwa wenzio.
Use your common sense Mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au upo lile kundi alilosema Mzee Aden Rage?Tuwekee ushahidi hapa wa pesa iliyowanunua tuuone, kama hauna nawe ni zwa...🫣🫣
Wewe upo kwenye kundi alilosema Manara kwamba wenye akili timamu wawili baba yake mzazi na Mzee Kikwete.Wengine wote majnoon.Use your common sense Mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au upo lile kundi alilosema Mzee Aden Rag
Jiwe limekupiga utosini Nini? Maana so kwa povu ili😂😂Ujinga ni kutojua kwamba kuna wachezaji pia wameongezewa mikataba yao kama Manula na Onyango.Vipi sakata la Sports Pesa linawatoa mavi umeleta hii kukwepesha mada.Wanachama wa Simba hawana wasiwasi wewe kiherehere ndio unateseka.Feisal amelipwa?Yule mchezaji Birigimana wa milioni 700 kashaondoka?
Hebu kopi utuwekee hapa japo kipande cha hayo maneno au taarifa uliyosema hivyo. Au pengine tuwekee kavideo kakuonesha wanatoa taarifa hiyo.Sitaki salamu Moja Kwa Moja kwenye mada,
Jumapili kwenye mkutano mkuu wa klabu ya Simba, wakati tukisomewa mapato na matumizi ya klabu, tulitangaziwa kuwa imetumika Tsh bilion 2 kufanya usajili msimu huu. Je, huu usaliji wa hawa wachezaji tulionao unaendana na kiasi hicho cha fedha?
Hawa kina Kyombo, Kapama, Okrah, Akpan, Sawadogo, Baleke na Saido ndio tunaoambiwa imetumika bilioni 2 kusajili?
Kwa hesabu za haraka haraka ni hivi uongozi unataka kutuambia kuwa imetumika milion 300 kwa kila mchezaji hapo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
Kama Manzoki tulishindwa kumsajili kwa kushindwa kuvunja mkataba wa Mil 300 imewezekanaje tumenunua hao wachezaji kwa bilion 2?
Yaani hawa wachezaji ambao wengi wao ni free agent na wengine tumepewa mkopo ndio itumike bilion 2?
Wanasimba tuhoji haya ndio mambo ya msingi kwa maendeleo ya klabu yetu.
Kama sio wewe uliekuja na kilio hapa, unataka awe nani mwingine?!Mimi tena nilete ushahidi? Yaani hujui hata kilichojili mkutano mkuu wa klabu yako, unatakiwa uwahoji uongozi walete ushahidi wa hao wachezaji wa bil 2 ni wapi? Mimi nimewtafunia tu kuwa wachezaji wetu tuliosajili ndio Hawa kina kapama, kyombo, akpana, okwa, okrah sawadogo, baleke na Saido na wengi wao haponi free agents na wachezaj wa mkopo
Sports Pesa wamewashika makalio.Kila wakigeuka hatoki.Kumpa mjinga asiyeweza hata kusoma mkataba ndio matokeo yake.Hebu kopi utuwekee hapa japo kipande cha hayo maneno au taarifa uliyosema hivyo. Au pengine tuwekee kavideo kakuonesha wanatoa taarifa hiyo.
Vinginevyo tunaweza poteza muda na nguvu zetu kujadili utopolo wako.
Common sense isiyotaka ushahidi ni sawa na kupiga ramli[emoji850][emoji850]Use your common sense Mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au upo lile kundi alilosema Mzee Aden Rage?
Ok, Basi Maneno ya mwenyekiti Alhaj Aden Rage yataendelea kuishi miongo mingi ijayo[emoji119][emoji119]Common sense isiyotaka ushahidi ni sawa na kupiga ramli[emoji850][emoji850]
Hoja ya usajili wa simba kwa Billion 2 au 😂Jibu hoja au umeshiba mihogo?.Manara hakukosea wenye akili wawili tu.Baba yake na Mzee Kikwete.Wengine wote washiba mihogo.