Hoja ya kusaini mkataba juu mkataba uliopo!🤣🤣Hoja ya usajili wa simba kwa Billion 2 au 😂
Klabu yenu wewe na nani?Sitaki salamu Moja Kwa Moja kwenye mada,
Jumapili kwenye mkutano mkuu wa klabu ya Simba, wakati tukisomewa mapato na matumizi ya klabu, tulitangaziwa kuwa imetumika Tsh bilion 2 kufanya usajili msimu huu. Je, huu usaliji wa hawa wachezaji tulionao unaendana na kiasi hicho cha fedha?
Hawa kina Kyombo, Kapama, Okrah, Akpan, Sawadogo, Baleke na Saido ndio tunaoambiwa imetumika bilioni 2 kusajili?
Kwa hesabu za haraka haraka ni hivi uongozi unataka kutuambia kuwa imetumika milion 300 kwa kila mchezaji hapo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
Kama Manzoki tulishindwa kumsajili kwa kushindwa kuvunja mkataba wa Mil 300 imewezekanaje tumenunua hao wachezaji kwa bilion 2?
Yaani hawa wachezaji ambao wengi wao ni free agent na wengine tumepewa mkopo ndio itumike bilion 2?
Wanasimba tuhoji haya ndio mambo ya msingi kwa maendeleo ya klabu yetu.
Wewe ndio wale HAMNAZO aliowàsema msemaji wenu haji manara ......We ndio wale mbumbumbu aliowasema mwenyekiti wetu mstaafu Aden Rage.
Kwanza una kadi ya Uanachama ya Simba? Unajua Manzoki tulishindwa kumsajili kwa kushindwa kulipa Mil 300?
Mbona unanishambulia Mimi badala ya kushambulia hoja? Mwenyekiti wetu mstaafu ndugu Rage aliona mbali sanaKlabu yenu wewe na nani?
Hebu toa utopolo wako huko...nyokanyoka mkubwa weeeeeeeee
Mkuu hili jambo sio geni kwako, Nina uhakika unajua uozo mwingi uliopo Simba sema unashindwa kuuweka hapa jukwaani kwa mapenzi yako yaliyotukuka kwa Simba. Ila waswahili wanasema mficha maradhi...???[emoji848][emoji848]Aisee
Hizo bando zako za buku buku zitumie kwa kununua mihogo unywe na maji uvimbiwe ulale.Hoja zako za kipumbavu zingewasaidia Utopolo wenzako.Mkuu hili jambo sio geni kwako, Nina uhakika unajua uozo mwingi uliopo Simba sema unashindwa kuuweka hapa jukwaani kwa mapenzi yako yaliyotukuka kwa Simba. Ila waswahili wanasema mficha maradhi...???[emoji848][emoji848]
Halafu uto wanashindwa kumlipa Fei ata m5Ogopa sana unaambiwa Gabacholi katoa Billion 20 kununua nusu ya hisa zote za Club alafu club husika inaingiza Billion 12 kwa mwaka [emoji23]
vs Jinga jinga fc.Janja janja fc.
Mkuu free agent haimainishi kuwa fedha ya usajili haipo. Ipo palepale isipokuwa ni mchezaji mwenyewe ndo anakunja ayo manoti. Ata awa wakina manula ukisikia wameongeza mkataba lazima wakunje noti ya usajili ikitegemea na thamani ya mchezaji husika. Wewe Kama ni mwanachama ungeomba mchanganio wa Io 2 billion unayoizungumziaSitaki salamu Moja Kwa Moja kwenye mada,