Je USEMI HUU ALITUMA NANI!!!?

TwendeSasa

Senior Member
Joined
May 24, 2008
Posts
128
Reaction score
116
Katika kuchangia hoja ya Richmond Mheshimiwa Karamagi alisoma kimemo alichotumiwa na mheshimiwa mwenzake na maneno yake yalisomeka hivyi

Muungwana Akivuliwa Nguo huchuchumaa ili aibu ipite nakuomba usiongee watakumaliza hao

ninaomba wana JF tujaribu kujiuliza Je ni mheshimiwa gani atakuwa amemtumia hicho kimemo

Je atakuwa ni waziri au Mbunge Tu

Je atakuwa naye ni mmoja wa watuhumiwa wa richmond

Maoni yako ni muhimu katika kupigana na MAFISADI

Jamii fover!!!!🙄
 

Mkuu hapo kazi ipo. Kama siyo kumuuliza yeye (Karamagi) itabidi tuombe msaada wa Shekh Yahaya Hussein! Vinginevyo tutakesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…