Je, ushawahi ingia kwenye anga za Wajeda (Wanajeshi)? Karibu hapa utupe kisa chako

Hakuna kitu hao kuna MP alileta ubabe alipigwa hadi kuchaniwa mfuko wa gwanda.
 
huwa nikiangalia mapigano ya wanajeshi wetu nacheka sana (weupe mno)
labda wakiwa kundi .

mtoa mada ulishashuhudia mjeshi anapigana na raia akiwa peke ake

utacheka sana
utamhurumia ila ni weupe sana wanafundishwa karate za kuonyeshea show
 
washamba sana hao jamaa
 
washamba sana hao jamaa
Wanasifa sana sijui kwanini watu zaidi ya mmoja wenye mafunzo wanampiga raia mmoja asiye hata na mafunzo hiyo ni akili au upumbavu,hasa tule tugeni na jeshi ndio tunaletaga ujinga unakuta tuna miaka michache jeshini hatuna hata v
 
mkuu hata wewe ukipelekwa vitani lazima utajinyea, nao ni binadam hawapendi kufa ndo maana wanakua hivo.
Hawapendi kufa kivipi?,Kazi yao si kufa na wanalijua hilo,mimi vitani nikafanye nini
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
utamhurumia ila ni weupe sana wanafundishwa karate za kuonyeshea show
yap watuwengi hawajui hili

wanafundishwa kwenye makundi yan ni vituko.

mimi kwa majeshi nawaheshimu KM wa magereza sababu wanaiva
 
Akikuzingua mwanajeshi akiwa peke yake mpe vitasa,narudia mpe vitasa vya maana.Hao jamaa wakiwa kikundi ndio wanakuwa na nguvu ila mmoja moja huwa rahisi kupigika,wanajeshi wengi hawajui ngumi,kule JKT wanafunzwa kulima,mabio marefu,pushapu na medani. Huwa nashangaa sana kuona raia wengi wakiwaogopa hao wazee wa sifa.
 
huwa nikiangalia mapigano ya wanajeshi wetu nacheka sana (weupe mno)
labda wakiwa kundi .

mtoa mada ulishashuhudia mjeshi anapigana na raia akiwa peke ake

utacheka sana
Kuwa kundi ndio haswa training ya jeshi "esprit de corps" ! Unity, comredship, brotherhood ndio jesho lenyewe. Ukikosa hivyo vitu hamna jesho. Mafanikio ya operation yoyote ni matokeo ya soldierly bonding . Stay tuned
 
Kuwa kundi ndio haswa training ya jeshi "esprit de corps" ! Unity, comredship, brotherhood ndio jesho lenyewe. Ukikosa hivyo vitu hamna jesho. Mafanikio ya operation yoyote ni matokeo ya soldierly bonding . Stay tuned
 
Nakumbuka siku moja pale upande wa pili wa chuo cha uhasibu TIA kurasini dar es salaam kuna kambi inaitwa abdallah Twalipo sasa pale geti lao lipo karibu kidogo na kituo cha daladala sasa huwa makonda wa daladala mara nyingi kukiwa na foleni inayotokea kwenye mataa kule huwa wanashusha abiria nyuma kidogo kabla ya kufika kituoni ambapo ndo geti la wajeda tena kuna kibao kimeandikwa amri hairuhusiwi kushusha abiria wala kusimama usawa geti, basi bhana kuna daladala aina ya eicher inayofanya safari zake mbagala to gerezani ilivyofika maeneo hayo baada ya kukuta foleni konda akajichanganya kushusha abiria ingawa alikuwa mmoja halalf hizi eicher huwa zina milango miwili mmoja wa mbele mwingine wa nyuma, Bwana Bwana baada ya kushusha abiria kupitia mlango wa nyuma akatoka mjeda chap akitroti kutokea getini kuja usawa wa daladala baada ya kufika akazunguka kwa dereva na kumwambia tunamuomba konda wako wa nyuma kule ameshusha abiria huku akisema very polite bila ya kupanick, basi bhana konda akakabidhi hela za nauli kwa konda mwenzie(walikuwa wawili) then akaondoka na mjeda wakazama getini na huku sisi foleni ilikuwa imeruhusu tukaondoka zetu tukamuacha konda akiingizwa kambini, ingawa nilishindwa kujua nini kilitokea hapo baadae.....
 
Heeeh stak hata kukumbuka kabisaa,

Wakat huo nikiwa 4m 3 kipindi cha likizo, nkaenda kumtembelea dada angu mkoa fulan, ambapo mumewe (shemej) ni mjeshi, ambapo walikua wanaish ktk eneo la kota za jesh karibu na kambi yao.

Sasa siku hiyo dada alipatwa na tatizo la homa ghafla kwan alikuwa mjamzito, na kwa wakati ule alikuwepo mam mkwe wake (mama mzaz wa shemej) ambapo alikua ktk usaidizi wa kumtunza dada,

Akanambia niende kule kambini kwa shemej nkatoe taarifa, lahaah aulah tobaah nilivofika pale kuna eneo km sehem ya kupumzika hivi, nkawakuta wanajesh wa 4 wamekaa wanazungumza, mie huyu hata bila salam, nkaanza kuuliza alipo shemej huku nikitaja jina lake,

Mjesh m1 akantazama tyuuuh, mara akanishka shati akaniamuru nipige magoti, nkatii nkarukishwa kichura kichura, pewa kwan mazoez ya kushtua mwili, nkasimamishwa nkaambiwa haya nieleze nini kilichonipeleka pale, nkaeleza akafatwa, shemej akaja pale, akaambiwa kabla hajanisikiliza shida angu, sijafuata kanuni na sheria za pale hivyo anipe adhabu mbele yao.

Shemeji alinipa mazoezi ambayo sitakaa nisahau kamwe maishani mwangu, nilipiga adhabu hadi niliishiwa nguvu kabisaa, alinichapa mtama m1 nusu anivunje kiuno, yaan nilikua nyang'anyang'a kwa adhabu, hata kuongea nlikua nashindwa, ndo wale wajeda wakamuamuru aniache, nkakaa chini, wale wajeda wakamuambia shemej shida iliyonipeleka pale.

Basi akanichukua akaniweka ndan ya gari yake tukarud nyumban, tulivofka home, nkapitiliza 1 kwa 1 room kulala, wao wakafanya taratibu za kumpeleka dada hospital, shem alivorud kutoka hospital akaja room kunichek akaniomba msamaha, sikumjibu chochote,

Dada alivopata nafuu na kuruhusiwa kurud nyumban kutok hospital, nkamueleza wazi tyuuuh, ule ndio ulikua mwsho wa mie kuja pale akauliza n 7bu gan, nkamuambia mumewe anajua kila kityu, shem aliweka wazi dada alilia mnoo, nkaomba ruhusa ya kurud home na tangu wakati huo sijawah kwenda na sitaenda tena.

Basi nikiwa naongea na shem hua ananiambia kuwa wale wajeda wananisalimia, mie huwa naishia kucheka kinafiki tyuuh, kuna siku mjeda m1 kat ya wale nilizungumza nae kupitia cm ya shem yaan alivokuwa anajifanya mwema kwangu, msieeew zake kabisaa wauwaji wale.

Nawaogopa wanajesh had baas khaaaah. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23] huu ni umama kabisa waliokufanyia,mwanamke hapigwi hata sheria inamlinda mwanamke.Hivi ushawahi kuona mwanamke kavungwa pingu!!
 
Utakuja uuliwe kiongozi.
 
[emoji23] huu ni umama kabisa waliokufanyia,mwanamke hapigwi hata sheria inamlinda mwanamke.Hivi ushawahi kuona mwanamke kavungwa pingu!!
Mie sijui sasa ila adhabu wote wanapewa hakuna mwanamke wala mwanaume, maan nilivoenda jkt kwa mujibu, mbna mpera mpera n wote tyuuh, no gender kabisaah. Daaaah ila wajeda hapana aseeeeh nawaogopa km vile sijui nini. Khaaaah
 
Na ulivyo ka gay.....eeeh uliisoma[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…