Je, ushawahi kuchukiwa na mama mjamzito?

Mimba za kibongo bhana πŸ˜‚πŸ˜‚ eti mimba inapenda kuzurura ! Mara inapenda story ! Uongo uongo tu ! Eti mtu hapendi kuoga.
 
Wanajifanyishaga tu hawa wamatumbi, kama tu wanavyoliaga mapepo. Mbona hatusikiagi hizi drama kwa wajawazito wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…