skills man
Senior Member
- Nov 10, 2024
- 175
- 437
Duu aisieNilimloga, mpaka sasa anaokota makopo.
Huyo ndo mwiziNgoja nisimulie tukio moja lilionitokea mwaka 2013. Baada ya kununua simu ndogo ndogo hizi kama nokia asha na huwawei na simu za kununua kwa watu kama samsung s4 simu yangu ya kwanza ya hela kubwa ambayo nilinunua mpya kabisa dukani ilikuwa ni samsung j3. ikiwa bado mpya kabisa siku moja asubuhi nafikakituoni ili niweze kupanda gari kuelekea ofisin pale palipokuwa kituo cha ubungo terminal magari yalikuwa machache sana yaan gar ikifika ni ya kugombaniwa.huwa sipend kukimbilia gar ila kwa kuwa siku hii nikawa nimekaa sana kituon ikaja gari ikabidi nigombanie kwa kukimbilia na kufika mlango konda akachelewa kufungua mlango kama dakika hiv watu tukawa tumesimama pale tena wengi mim akil ikaniambia hapa ndio muda wa kuibiwa simu, hivyo nikashika mfuko wa suruali nilioweka simu nikaikita na nikaangalia kabisa huo mfuko wa suruali lakin cha ajab nikaona kama mkon wa mtu aliyeyok nyuma yangu ameweka mkon wake karibu na mfuko huo wa suruali yangu kama vile anataka kusalimia kwa kushikana mikon mim nikauona huo mkono kisha nikageuza shingo kumuangalia huyo mtu nikawa nimeona ni mtu mweupe mara mlango ukafunguliwa tukagombania nikafanikiwa kuingia ile naingia kufika nashika mfuko wa surual sim hakuna hapo hapo nikajua nimeshaibiwa nika kaa kimya siku piga kelele wala nin ile gar kwa jins ilivyojaa kufika shekilango kuna abiria anasema amekosea gar anaomba konda amshushe …..itaendelea
Itaendelea AusioNgoja nisimulie tukio moja lilionitokea mwaka 2013. Baada ya kununua simu ndogo ndogo hizi kama nokia asha na huwawei na simu za kununua kwa watu kama samsung s4 simu yangu ya kwanza ya hela kubwa ambayo nilinunua mpya kabisa dukani ilikuwa ni samsung j3. ikiwa bado mpya kabisa siku moja asubuhi nafikakituoni ili niweze kupanda gari kuelekea ofisin pale palipokuwa kituo cha ubungo terminal magari yalikuwa machache sana yaan gar ikifika ni ya kugombaniwa.huwa sipend kukimbilia gar ila kwa kuwa siku hii nikawa nimekaa sana kituon ikaja gari ikabidi nigombanie kwa kukimbilia na kufika mlango konda akachelewa kufungua mlango kama dakika hiv watu tukawa tumesimama pale tena wengi mim akil ikaniambia hapa ndio muda wa kuibiwa simu, hivyo nikashika mfuko wa suruali nilioweka simu nikaikita na nikaangalia kabisa huo mfuko wa suruali lakin cha ajab nikaona kama mkon wa mtu aliyeyok nyuma yangu ameweka mkon wake karibu na mfuko huo wa suruali yangu kama vile anataka kusalimia kwa kushikana mikon mim nikauona huo mkono kisha nikageuza shingo kumuangalia huyo mtu nikawa nimeona ni mtu mweupe mara mlango ukafunguliwa tukagombania nikafanikiwa kuingia ile naingia kufika nashika mfuko wa surual sim hakuna hapo hapo nikajua nimeshaibiwa nika kaa kimya siku piga kelele wala nin ile gar kwa jins ilivyojaa kufika shekilango kuna abiria anasema amekosea gar anaomba konda amshushe …..itaendelea
Kabisa amalizeItaendelea Ausio
PoleNikikumbuka laki tatu yangu moyo wangu unavuja damu
Kwenye comment pia itaendelea. NyambafNgoja nisimulie tukio moja lilionitokea mwaka 2013. Baada ya kununua simu ndogo ndogo hizi kama nokia asha na huwawei na simu za kununua kwa watu kama samsung s4 simu yangu ya kwanza ya hela kubwa ambayo nilinunua mpya kabisa dukani ilikuwa ni samsung j3. ikiwa bado mpya kabisa siku moja asubuhi nafikakituoni ili niweze kupanda gari kuelekea ofisin pale palipokuwa kituo cha ubungo terminal magari yalikuwa machache sana yaan gar ikifika ni ya kugombaniwa.huwa sipend kukimbilia gar ila kwa kuwa siku hii nikawa nimekaa sana kituon ikaja gari ikabidi nigombanie kwa kukimbilia na kufika mlango konda akachelewa kufungua mlango kama dakika hiv watu tukawa tumesimama pale tena wengi mim akil ikaniambia hapa ndio muda wa kuibiwa simu, hivyo nikashika mfuko wa suruali nilioweka simu nikaikita na nikaangalia kabisa huo mfuko wa suruali lakin cha ajab nikaona kama mkon wa mtu aliyeyok nyuma yangu ameweka mkon wake karibu na mfuko huo wa suruali yangu kama vile anataka kusalimia kwa kushikana mikon mim nikauona huo mkono kisha nikageuza shingo kumuangalia huyo mtu nikawa nimeona ni mtu mweupe mara mlango ukafunguliwa tukagombania nikafanikiwa kuingia ile naingia kufika nashika mfuko wa surual sim hakuna hapo hapo nikajua nimeshaibiwa nika kaa kimya siku piga kelele wala nin ile gar kwa jins ilivyojaa kufika shekilango kuna abiria anasema amekosea gar anaomba konda amshushe …..itaendelea
HahahaKwenye comment pia itaendelea. Nyambaf