The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Very true. Wengi hustuka baada ya tatizo kujitokeza while it is too late.Mwili utunzwe kwa gharama yoyote.Kwa sababu hata kidole tu kikiwa na maumivu utakaa kwa uchungu na hasira kila wakati.Afya ni mtaji wa mambo mengine yote kwa binadamu.
Sahihi kabisa.Tusifanye mambo kwa uzembe.Matokeo huwa mabaya;-Very true. Wengi hustuka baada ya tatizo kujitokeza while it is too late.
Kuna mshkaji mmoja alikuwa hanywi pombe Wala havuti sigara, anaumwa sasaivi amefeli Figo zote Hadi anatia huruma aisee,Maisha ni fumbo na fumbo lenyewe Lina kuja pale unapougua na hujui utapona au ndo mazima...
Life style imebadilika sana mkuu.Kuna mshkaji mmoja alikuwa hanywi pombe Wala havuti sigara, anaumwa sasaivi amefeli Figo zote Hadi anatia huruma aisee,
Hivi kwanini haya maradhi ya kufeli Figo yamekuwa mengi sasaivi, yaani asilimia kubwa ya watu wanasumbuliwa na tatizo la Figo
kweli mkuu!Life style imebadilika sana mkuu.
kuumwa kunakera sana, basi tu, huwazi chochote iwe hela, pu$$y, etc yaani unapambania ku get wellYani ukimwona mtu mwenye afiya unamtamani sana
Shida ni hapo kwenye kusahau.kuumwa kunakera sana, basi tu, huwazi chochote iwe hela, pu$$y, etc yaani unapambania ku get well
ukidaka say homa, kukaa huwezi, kulala huwezi, kula ndiyo kabisa, roho mkononi hasa iwe usiku na ipande
unasikia wengine wanakoroma fresh kabisa yaani unatamani uwe wao
ajabu ukishapona ivyo vyote unavisahau
Swali ni je,kunywa pombe na kuvuta sigara tu ndivyo husababisha kufeli kwa figo?Kuna mshkaji mmoja alikuwa hanywi pombe Wala havuti sigara, anaumwa sasaivi amefeli Figo zote Hadi anatia huruma aisee,
Hivi kwanini haya maradhi ya kufeli Figo yamekuwa mengi sasaivi, yaani asilimia kubwa ya watu wanasumbuliwa na tatizo la Figo
Na wakati huohuo uchukue tahadhari.Kwa sababu unaweza ukagangamaza shingo na tozo hadi unakufa kwa sonona.Ngoja kwanza tumalizane na hizi tozo mkuu.
Shida ni hapo kwenye kusahau.