Hapana mkuuVipi injinia. Au hii yako pia fekero?? Hahahaha
Habari wanabodi!
Naomba kuuliza kama umeshawahi kuwa na fake ID kwenye any social network.
Kama jibu ni ndio tueleze ilikuaje ukawa na fekero akaunti na ulikusudia nini?
NB: ID za jf hazihusiki kwasababu jf inatoa room ya kuwa anonymous. Ila kama uko jf ni male lakini in reality you're a female, basi wewe ruksa kujieleza. Mm nitajieleza baadae
Karibuni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha hongera Sana mkuu. Ila jF ni sawa tuu kuwa anonymous
Rejea Maelezo yako ya mwishon apo,kweny nukuu ya mada yako husika,Me mkuu. Kwann umeuliza
Acc ya kike ilipata followers 5000 na zaidi within one week. Pm ndo usiseme, messenger calls duuu zinakuwa ignored ila. Hakiyanani hawa viumbe wanamajaribu... Wanaume tunahaki ya kujivuna na kutembea kifua mbeleKwanini mkuu
Uko vizur engineerHapana mkuu
Mm sio muumini wa vitu feki ikiwemo id ndo maana kila kitu nimeweka wazi kuanzia fani yangu ,jina langu na pia hata avatar nimeweka sura yangu halisi.
Okey labda hujaelewa.Rejea Maelezo yako ya mwishon apo,kweny nukuu ya mada yako husika,
Hio acc ya kike uliopen wewe? Je mtandao upi? Lengo lako lilikua lipi??Acc ya kike ilipata followers 5000 na zaidi within one week. Pm ndo usiseme, messenger calls duuu zinakuwa ignored ila. Hakiyanani hawa viumbe wanamajaribu... Wanaume tunahaki ya kujivuna na kutembea kifua mbele
Anafaa kwa hii awamu yeye sio fake nahis hata vyeti vyake ni originalInjinia hataki Mchezo atiii. Safi kabisa