TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Wanasayansi wanaamini kwamba katika dunia kwa kila sura moja ya mtu basi kuna sura sita zinazofanana na mtu huyo na hiyo kwa kijerumani ikaitwa Doppelganger (Double walker).
Double walker siku zote wanaweza wakawa hata hawana undugu lakini wanafanana kama mapacha (identical twin).
Je ushawai kukutana na ishu kama hii kwamba watu sio ndugu lakini wanafanana balaa au ushawai kufananishwa na mtu fulani?
Doppelganger imewatoa kimaisha watu wengi sana walio bahatika kufanana na watu maarufu mfano Wolper na Uwoya hawa ni Dopperganger japo sio kwa asilimia kubwa nasikia Uwoya ndio alimtoa Wolper, kuna yule jamaa wa Arusha anayefanana na Diamond Platinum kasoro rafudhi tu ndio ya Kichugga.
Pia Double walker theory imetumiwa sana na marais wa Marekani ,yaani mfano unaambiwa labda Joe Biden au Obama atakuja Tz harafu wakinusa harufu ya rais kuvamiwa mnaletewa rais copy sio mwenyewe mfano wale Obama,Bush na Crinton waliowahi kuja Tanzania nasikia wale walikuwa feki yaani copy au Doppelgangers wa marais noma sana.
Pia watu hususa waSouth Africa wenyewe wanadai hata Nelson Mandela tunayemjua sisi ni Doppel ganger tu (double walker) wala sio Mandela mwenyewe, mzee Mandela mwenyewe walimuua gerezani akatafutwa Doppelganger yeye ndio akawa kama Mandela .