Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Hata Mimi naomba sana wote Mungu awashughulikie!!!Wasalaam
Nimemsikia mtu wa Mungu akitabiri laana kwa wote waliohusika kufunga kanisa la ufufuo na uzima.
Ikumbukwe mh Lema ameshatabiri mengi kuhusu viongozi na yakatokea.
Muda ni rafiki mwema tutege masikio.
View attachment 3356139
Mungu aangamize kizazi chao wakufe kwa magonjwa mbaya cancer,tezi dume,BP & magonjwa ya moyo,figo,ini ......Hata Mimi naomba sana wote Mungu awashughulikie!!!
Hata Mimi naomba sana wote Mungu awashughulikie!!!
Tapeli, anaeiua Chadema.Wasalaam
Nimemsikia mtu wa Mungu akitabiri laana kwa wote waliohusika kufunga kanisa la ufufuo na uzima watapata laana na kuumiuzwa na mungu.
Ikumbukwe mh Lema ameshatabiri mengi kuhusu viongozi na yakatokea. Amesema unaweza kufunga kanisa lakini si nguvu za mungu .,
Muda ni rafiki mwema tutege masikio.
View attachment 3356139
Ngoja tusubiri tuoneTapeli, anaeiua Chadema.