Je, utafanya nini kama Serikali itahalalisha kila kitu nchini kwa muda wa masaa 24 pekee?

Je, utafanya nini kama Serikali itahalalisha kila kitu nchini kwa muda wa masaa 24 pekee?

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
DISCLAIMER: Huu Uzi hauna lengo lolote la upotoshaji kwa wasomaji kwahiyo naomba wana JF wauchukue poa tu

For instance the government decides to legalise everything in the country for a 24- hour altimatum, what would you probably do within those 24 hrs?

Binafsi nitaichangamkia fursa kwa kuchukua magunia na kuwahi katika Benki zote nchini na kuanza kuopoa mihela kabla ya hayo masaa 24 kwisha [emoji23][emoji23]

Je, wewe utaichangamkiaje fursa kama ikitokea?
 
Huhuuuuuuuuuu

Ningewasha ngada a.k.a bhange mapokezi mwa polisi nikisindikizia na ka gongo namba wani
Kuna moment ukipiga pegi moja hafu ukakasukumia n pfu kama mbili za bhange inatengenezwa kama sukari fulani hivi isio na maelezo huku ukihama ki hisia taratibu na mbinu za kuwakwepa ma mweli zikija kama vile ww ni rambo. Sembuse itangazwe et ruksa!!!!!!???

Masaaa 24 tuu kitambi tayari
 
Kuwa makini mkubwa,
Maana ikatokea vitu vikakuzidi ukazima alaf uamke masaa 24 yameisha na upo counter utajua hujui.[emoji23]
 
Back
Top Bottom