Generetaion Z
JF-Expert Member
- Oct 2, 2022
- 343
- 874
SeriousWakuu
Sisi wana jf ni watu tuliokwiva katika masuala mengi hasa ya mahusiano
Case nyingi tumekuwa tukizi solve japo kimasihara ila ndo ivo tunatua
Sitegemei kuja kubaini member wa jf ameua au kujiua kwasababu ya mapenzi nitachoka sana
Sasa basi tujadili wwe kama wewe utafanyaje kuepusha kujidhuru au kumdhuru mwenzio kwasababu ya mapenz,
Hatua zipi utakazo chukuwa endapo unakaribia kufanya uamuzi uo, au mambo yepi utazingatia ili kuhakikisha hayo masuala hayaji upande wako
BarahbarahTumia ubongo na sio moyo kwenye ku make decisions za mahusiano
Usimuweke mwenza wako moyoni muweke akilini
Ishi na mwenza wako kwa kutumia akili na sio kwa matamanio
Awajipi muda kabisa yani ata ajaribu mbususu ingine tu tena mnato ataghairi kujiuaMtu kujiua sababu ya mapenzi unakuta tu amekurupuka hajakaa kikao na halmashauri ya kichwa chake baaaasiii....ila story ya katibu ni ya kufikirisha kidogo
Duh! Au limbwata?Awajipi muda kabisa yani ata ajaribu mbususu ingine tu tena mnato ataghairi kujiua
πHisia za mapenzi kuzi'control inabidi uwe mzoefu kidogo. Wale ambao hawajaruka ruka ujanani halafu anakuja kufunga ndoa direct wanapataga shida sana kwenye mahusiano.
Nimepata elimu kubwa Sana hapa hapa Ni harvad nimeiva vibaya na mbinu za kijasusi nimechukuwa Happ Happ na zinafanya Kaz mbayaWakuu
Sisi wana jf ni watu tuliokwiva katika masuala mengi hasa ya mahusiano
Case nyingi tumekuwa tukizi solve japo kimasihara ila ndo ivo tunatua
Sitegemei kuja kubaini member wa jf ameua au kujiua kwasababu ya mapenzi nitachoka sana
Sasa basi tujadili wwe kama wewe utafanyaje kuepusha kujidhuru au kumdhuru mwenzio kwasababu ya mapenz,
Hatua zipi utakazo chukuwa endapo unakaribia kufanya uamuzi uo, au mambo yepi utazingatia ili kuhakikisha hayo masuala hayaji upande wako
UmemalizaHisia za mapenzi kuzi'control inabidi uwe mzoefu kidogo. Wale ambao hawajaruka ruka ujanani halafu anakuja kufunga ndoa direct wanapataga shida sana kwenye mahusiano.
Sasa mambo ya kukata gogo yanaingiaje tena hapaπ€£π€£π€£π€£Yaani sitajiua sababu ya mapenzi kwanza kwani huyo mwanaume ndo anaenipa oxygen ?Pili mimi ni wa thamani sana na kuna offsprings 4 niliowaleta hapa duniani wananitegemea kwa asilimia 100 na bado ni underage. By the way yeye ni nani?Kuliko kujiua bora tupeane tu talaka. Maisha yalivyo matamu hivi nijiue sababu ya binadamu anaekata gogo chooni kama mimi tu yaani thubuuuutu.
Aliyejiua na yeye aliwadharau waliojiua zamani?Mtu kujiua sababu ya mapenzi unakuta tu amekurupuka hajakaa kikao na halmashauri ya kichwa chake baaaasiii....ila story ya katibu ni ya kufikirisha kidogo