Je, utafanyaje.....mambo yanapoenda ndivyo sivyo.....

Je, utafanyaje.....mambo yanapoenda ndivyo sivyo.....

yakienda kombo na wewe unaenda mrama...........baaaaaaaaaaaaaasii!!!!!!!


chek chanzo cha ukombo wenu...kaa mzungumze...
 
I think people forget that this world is just a test, yani we kama huwezi kutatua matatizo yako basi bora wakakuzike tu mzima mzima, huna faida ya kushi dunia.

Afu mimi sijawahi kuona nyumba haina kelele au matatizo :A S-coffee:
 
unajifunza kutokana na makosa..and you improve your whole being.maisha ni safari ndefu-it takes a while to get things right
 
Na-asume akuna kilichotokea then i start a new fresh page !
 
Back
Top Bottom