Je! utafanyeje?

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,105
Imagine umeoa/kuolewa ghafla
unamkuta wife/husband anaangalia picha
kwenye album yake huku anasikitika,
unamuuliza vipi anakwambia
unamuona huyu naemwangalia
alinipenda sana ila hakufanikiwa na alitoa zawadi kubwa kuliko wote siku
ya harusi yetu,
je utafanyaje?
 
Ntamwomba no ya simu kumshukuru kwa zawadi na kuhudhuria harusini
 
Hakuna takachofanya kitakachosaidia chochote..,
Ila tapata wasiwasi na busara za mke wangu.., (na kama sio chizi),
basi tajua kibuti kinakaribia (akufukuzae hakwambii toka).

Na kama nataka kumuudhi na yeye tamwambia mhh zawadi kubwa kuliko zote ?, haiwezekani nadhani EX wangu ndio alitoa zawadi kubwa zaidi
 
Hivi kunakuoa na kuolewa ghafla siku hizi...ndo kwanza nasikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…