HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Ni wazi jamii yote inashuhudia wachungaji na maaskofu wakiibuka kuwa na mali nyingi kuliko waumini wao wanaowaombea.
Natatizwa na wimbi kubwa la waumini wao kuzidi kuzama kwenye wimbi la UMASIKINI huku maaskofu na wachungaji hao wakiendelea kutajirika kitu ambacho kinaleta kiulizo je,utajiri huo unatokana na fedha za waumini wanazotoa kwao kama sadaka, zaka, 10%, nk ndizo zinachukuliwa na kuzungushwa au ni juhudi zao wenyewe maaskofu na wachungaji kutafuta pesa zao wenyewe?
Mwenye jibu atusaidie!!