Kuingia kwenye uhusiano siyo lazima umejiandaa,unapokuwa kwenye uhusiano unapata mda mkubwa na mrefu wa kumjua mchumba anayekufaa,unajua jinsi atakavyokuvumilia,otherwise kama unasubiri upate kwanza mafanikio makubwa ndo uingie kwenye uhusiano utakuja kuingia pabaya,halafu uhusiano unaanza pale feelings zinapokuja na umempenda mtu flani,kwa hiyo hutaweza kuzuia.