thebosskissima
Member
- May 22, 2017
- 65
- 298
mtoa chenji unamrejeshea 8000 yeye alikupa chenji ya 10,000 na si pesa unayotakiwa kumrejeshea mteja.Inawezekana hasara halisi isiwepo kwasababu hujui mkate at cost gharama yake. Kwenye majibu yako hasara elfu kumi. Mkate wa 2,000 na elfu nane ya fedha halali utakayomrejeshea aliekupa chenchi. Mteja alichukua hela ya mtoa chenchi.
CTWENDE SAWA.......
....................
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?
A. 12,000
B. 18,000
C. 10,000
D. 20,000
E. 8,000
F. 2,000
Kweli mkuu, alitoa chenchi ya 10,000 na 2,000 nikabaki nayo kama bei ya mkate. Nitachukua 2,000 niliyobaki nayo jumlisha 8,000 na jumla itakuwa 10,000mtoa chenji unamrejeshea 8000 yeye alikupa chenji ya 10,000 na si pesa unayotakiwa kumrejeshea mteja.