Je, utanipenda remix - Sugu verse

Je, utanipenda remix - Sugu verse

Lyrics Master

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
479
Reaction score
670
Hawapigi tena track redioni,
Na hata kwenye TV haunioni,
Na jina haliendi chini,
Najua unashangaa hata mimi sijui kwanini,
Je ungenipenda Kama nisingekuwa Staa!?
Kwasababu sio handsome wanasema ungekataa,
Mimi ni msanii na ndio maisha nayoishi,
Sometimes sina kitu Ila nakua mbishi,
Nikipita manukato wengine wanaita marashi,
Aaah Sio ya pemba Bali ni harufu ya guchi,
Kila kitu ni original nang'ara kuliko tochi,
Kwenu Mimi ni mpaka ndani seblen,
Cheni kubwa shingoni,.
Na heleni huku na huku masikioni ,
Na Nashangaa mama'ko haniiti tena mhuni,
Nasikia alitoa chozi nilipoingilia na gun,
Je ungenipenda ningelost niwe fukara,
Au ungeniona si deal na sifai kwa biashara,
Me ndio Sugu hutapata Bwana Bora,
Asikuambie mtu kitu, mabitozi na matuu ni mikwara tuuu na hawana kitu,
Kiwese geji iko chini,
Ndiomaana vioo vipo chini,
Unastahili kilicho Bora lazima uwe makini,
Sema nikuite nani au kwini kama Dorini,
Nambie utanipenda kama nisipo kuwa staa,
Na kama siku ntalost na kukosa chapaa
 
Sema nikuite nani kwini kama dorini

Kumbe first lady wa WCB dada wa diamond maarufu kitambo mpaka kina sugu enzi hizo walikuwa wanamrusha
 
Sema nikuite nani kwini kama dorini

Kumbe first lady wa WCB dada wa diamond maarufu kitambo mpaka kina sugu enzi hizo walikuwa wanamrusha
Doreen alianza kuwa Star hata kabla Diamond
 
Back
Top Bottom