Je Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

Je Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

Bakalalwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
748
Reaction score
1,217
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa,

Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya mwishoni,

Kimekuja kuzima week hii siku ya Ijumanne muundo ni aina ya Sasa hivi vile vidogo ambavyo havina kadi, na Anntena yake ni ndogo sana!?
 
Kuna member aliwahi kutoa maoni yake humu Jukwaani kuwa kutumia Star times iongezwe kwenye mtaala kama Indicator of poverty [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Warranty imeexpire? Vyovyote vile wapelekee ofisini kwao.
 
Duu mpk leo kuna watu wanatumia Startimes wakat watu tuko kwenye Android Firestick ss iv ..
 
Back
Top Bottom