Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Leo alfajiri wakati natoka kwangu kuelekea kibaruani niliona Benz aina ya saloon lime-park pembeni huku dereva akifuta ukungu uliokuwepo kwenye windscreen. Yawezekana aliamua kufanya hivyo kwa sababu alimaliza maji ya wiping au mfumo wa AC na heating haufanyi kazi.
Gari lolote lenye air conditioning na heater linauwezo wa kuondoa ukungu lenyewe bila kumtaka dereva kushuka na kufanya hivyo, labda kama hiyo system imekufa.
Sasa unafanyaje kuondoa ukungu? washa AC, bonyeza button ya windscreen yenye mishale kuashiria uelekeo wa upepo, halafu zungusha nob au set heater mpaka mwisho, then matokeo yake lazima yakupe raha. Ila ukungu ukiisha, rudisha kwenye normal- AC.
Kushukashuka hasa alfajiri ni risk kwani waweza kuvamiwa, na usipotoa huo ukungu ni kukaribisha ajali.
Kwa hiyo heater utumika kwenye climate na weather yetu pia.