Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Discovery ni bei gani?Nimeona pia Discovery za kutosha namba E. Wenye hela naona wameamua sasa kununua "high-end cars"
Discovery ni bei gani?
Toleo la kwanza ni bei gani? Na latest ni bei gani?Inategemea na mwaka. Kuna disco 1 toleo la kwanza mpaka latest version nadhani ni discovery 5
Boss kuna discovery inauzwa 45,000,000/= Tu kama unahitaji nicheki NI discovery 3 upgraded to 4Discovery ni bei gani?
Ahsante.Boss kuna discovery inauzwa 45,000,000/= Tu kama unahitaji nicheki NI discovery 3 upgraded to 4
Yeah, Subaru zimekuwa nyingi barabaraniForester
Mi nahisi hata kejeli za maRC wa Dar.Inawezekana wanunuzi wa IST wananunua zilizotumika humu humu kwahiyo number plate hazibadiliki. Baada ya bei yake kuwa kubwa sana
Wananunua used walioshindwa kufanya uber na boltIST ipewe maua yake kwenye usajili wa No. D. Kwa utafiti usio rasmi asilimia 30 ya No.D ni magari ya IST. Lakini tangu usajili wa "E" uanze ni IST chache sana zimesajiliwa. Kwa utafiti usio rasmi Nissan Dualis inakimbiza sana kwenye usajili wa "E".
Kwa Nini watu wameacha kuchangamkia IST kama hapo awali?
Yes, hilo neno lina ATHARI kibiashara.Mi nahisi hata kejeli za maRC wa Dar.
Mara ni za kuhonga, mara ukiomba hela ya mafuta ikiwa na IST unapewa 20,000 lakini ikiwa na Range unapewa 500,000 😬