Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Ukinunua Hakikisha una Fire extngiusher 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo vizuri sanaDUALIS kwenye wese imekaaje?
Si kweli, tatizo ni mafundi wenu wa umeme. Nissan haitaki maujinga yenu.Ukinunua Hakikisha una Fire extngiusher 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Changia petroliMie wa subaru nachangiaje😂😂🤣🤣
Hii chuma ni kali natamani wanaoijua waichambue watujuze uzuri/ubaya wake.Volkswagen touareg gari moja sio ghali sana na imetulia kinoma
in average consumption 1 Litre inaenda km ngap kwa town trip?Ipo vizuri sana
View attachment 2763668
Uwa wanayakosea kwa kuongezea miandroid redio na mispeaker huku mitaa ya ajabu ajabu kwa mafundi wasioeleweka,dualis ina zaidi ya miaka 10 bongo na iko poa
Upo serious?Dualis ni new IST ..tatizo kujipiga kiberiti tu
17 km/lin average consumption 1 Litre inaenda km ngap kwa town trip?
Hii nzuri aise kumbe kwa maisha ya kawaida unaweza anza nayo17 km/l
Uwa wanazikosea wenyeweWadau wanazipondea sana huwa zina shika moto chap
Dualis inakuoffer vingi zaidi....sema hpo kwa fuel consumption ndio sijajuaBi mdogo nilipotaka kumnunulia IST alikataa akataka Dualis ndo uone sasa
Bi mkubwa nimempa tiguan
Hivi ikiwa upgraded hata ule muonekano wa ndani unakuwa kama Disco 4 au ni nje tu?Boss kuna discovery inauzwa 45,000,000/= Tu kama unahitaji nicheki NI discovery 3 upgraded to 4
Wenye akili za IST hawawezi nunua Subaru maisha yao yote,maana wao wakisikia neno Subaru tu wanajua unaongelea wese tu regardless Ni turbo au non-turbo.IST watu wameona wanapigwa hela zao gari bei halafu baby walker,watumiaji IST wote wamekimbilia kwenye Subaru Forester.. Wanavimba tu
BMW ipi hio unaiongelea?maana unafikiri wenzio wanaendesha magari kama walivyoyanunua showroom.
Mtu ana nunua gari Showroom mfukoni ana 5m ya ku upgrade gari, akisha li upgrade mzigo unarudshwa sokoni kwa bei mteremkooo... Kalete lako la showroom uonyeshwe IST zilizokaa mithili ya BMW ndio utajua kuja watu wanapenda magari yao.
Bila kusahau suzuki na mitstubish outlanderSubaru forester zimekuwa nyingi sana, pia hata volkswagen touareg na Tiguan nazo zimeongezeka... Babu yetu toyota anagwa taratibu.
Hivi ukinunua gari kama hivi unatakiwa ikaifanyie usajili upya siyo. Maana naona umebadili hadi rangiNatumia land Rover 111 namba Ç wajeda waliniuzia lak saba tu likiwa na mashine kinanda mchawi ilikua suspension system tu ambapo wale wajeda niliwapoza 1m wakanifungia mabush,shockup,coil spring na matair vyote hivyo waliniwekea vipyaaaaaaa
Kwa vile lilikuwa na mabakamabaka ya kijeda nikalazimika kubadil rangi na sikuleta ubahili nikatoa lak tat unusu chombo kikatoka kipyaaaaaaaaaa
Chombo ya dizel nikiweka wese la 30k nazurura wiki nzima bila kukata tena mizururo ya kibabe
Kuna mwamba anaitwa Chris Lukosi wa KC Global Links yuko UK, mzee wa madungu jeshi ameamua kuvunja bei huku bongo ,ukiwa hata na m30 unapata disc 3 safiNimeona pia Discovery za kutosha namba E. Wenye hela naona wameamua sasa kununua "high-end cars"