Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

Kitu kinachopendwa na wanawake lazima bei yake iwe juu

Kibaya zaidi anayeingia shoroom na kuilipia ni mwanaume
 
Hakuna kitu kama hicho, kitu kipya ni kipya tu hamna ubishi hapo sana sana utanujua kopo lililojazwa maspika maana naona kilichokuvuruga ni maspika Yale wanayoweka
Boss, Hakuna sababu ya kubishana kila kitu.
Show room si magari mapya, pia kuna watu ni watunzaji sana na magari yao ni salama kuliko show room. Wahindi wamesifiwa sana katika hili. Unakuta alinunua 0km na anakaa mjini katumia miaka 10 ila gari ni nzuri kuliko mengi tu yaliyopo yard.

Inawezekana kabisa kununua gari used nzuri na zima kuliko aliyeagiza na imeshatokea si mara moja. Kuna watu wameagiza gari japan linafika tu na kumuona fundi na kuna watu wamenunua gari used na wametumia muda bila tatizo.
 
Ukinunua Hakikisha una Fire extngiusher 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Gari la kisasa imekuja na teknolojia ya kisasa unampa fundi juma anakata kata waya anaunga na tape unafunga android ya kichina ya laki. Why? Tuna ushamba mwingi sana bado na sijajua kama wachina wanafunga radio quality hizi kwenye magari yao.

Tunahitaji kubadilika. Dunia haiwezi kututengenezea ngarangara ngumu kama rav4 massawe na suzuki mchaga milele. Zinakuja gari ni full electric hata sauti hazina, na hizi android zetu tutapigwa shoti mpaka tufurahi
 
Yes.
IST namba E hazipo kabisa au zipo kwa uchache.
Kuna watu humu wanasema watu wananunua IST humuhumu ndani (nchini) hoja zao za kitoto. Ukinunua gari hapa nchini ambayo alitumia mbongo mwenzako hapo sawa na kusema kuwa haijanunuliwa.
Hivyo shortly tuseme tu Watanzania wameacha kununua IST na si kusema wananunua used za ndani
 
View attachment 2763668
Uwa wanayakosea kwa kuongezea miandroid redio na mispeaker huku mitaa ya ajabu ajabu kwa mafundi wasioeleweka,dualis ina zaidi ya miaka 10 bongo na iko poa
Kuna mtu niliona ametoa radio original ya range sport akafunga android ya 180,000/=. Sijajua ni hatujui vitu vizuri au tuna ushamba.
 

Duh IST 17M? Showroom? Unasemea hizi model za 2nd Generation au? Kama unasemwa zile za toleo la kwanza now zimeshuka bei 13.5 mpka 15.5 hapo umepigwa saanaa
 
Picha?
 
Picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…