Chapakazi, ni kweli maneno haya ni ya udhalilishaji na yanatumiwa sana na wahuni au wale wasio na mapenzi ya kweli au wasiojua mapenzi nini, na huyafatumia kwa watu ambao hawana malengo nao, sidhani kama unaweza tumia maneno hayo kwa mtu umpendaye kwa dhati kama mkeo au mchumba... kwa kifupi ni maneno ya wahuni
Kwasababu wewe huyatumii, huwezi kusema niya kihuni au wanaoyatumia ni wahuni!!Chapakazi, ni kweli maneno haya ni ya udhalilishaji na yanatumiwa sana na wahuni au wale wasio na mapenzi ya kweli au wasiojua mapenzi nini, na huyafatumia kwa watu ambao hawana malengo nao, sidhani kama unaweza tumia maneno hayo kwa mtu umpendaye kwa dhati kama mkeo au mchumba... kwa kifupi ni maneno ya wahuni
Mbona yanatumika huku ndani na wanawake wanajibu posts bila shida?
Excuse me The Boss , what if that bar maid is your wife or gf or whatever, being a bar maid doesn't mean that she's a mlupo as you said, i hope ni kazi kama alivyo secretary ni vema unge2100 neno lingine like prostitute or s'mthing.Kuna maneno huwa tunatumia sio kwa
tunaowapenda bali kwa milupo....
Huwezi sema bar maid una make love nae..
Bali una mmega sio?????????
excuse me the boss , what if that bar maid is your wife or gf or whatever, being a bar maid doesn't mean that she's a mlupo as you said, i hope ni kazi kama alivyo secretary ni vema unge2100 neno lingine like prostitute or s'mthing.
Sorry kama nimekukwaza boss.
Boss,huko nchi gani? Unajua barmaid wa dunia ya kwanza wont even give you a look.Kuna maneno huwa tunatumia sio kwa
tunaowapenda bali kwa milupo....
Huwezi sema bar maid una make love nae..
Bali una mmega sio?????????
Boss,huko nchi gani? Unajua barmaid wa dunia ya kwanza wont even give you a look.
sidhani kama kuna mwanamke wa kweli anaweza tumia maneno yenye ukakasi kama hayo, nadhani kama yupo atakuwa na matatizo, kuna maneno yenye staha ambayo ni mbadala wa hayo yasio na upako. Mfano unaposema unamega, nini kinamegwa hapo? na nani anayemega?
you must be a victim of mfumo dume!mfumo dume
Ivi hili tendo linamfanya mwanamke kuwa inferior? Na kama sio, kwa nini wazazi wanaringa zaidi wakipata mtoto mwanaume? Kwa mfano utasikia wakitumia maneno kama nina madume kadhaa, nk. Je inabidi tubadilike hadi huko? Na tunabadilikaje?Hata mimi nimekuwa napata shida sana kuelewa haya maneno.Na siyo haya tu...yapo mengi na hayana mantiki yoyote! Ukijaribu kuangalia kitendo chenyewe.. sijui!
Ila ukishindana sana na hii misamiati..japo ya udhalilishaji..utajistukia unagombana na watu...watu wameshajiwekea utamaduni wa kutusi hilo tendo tena kwa kuwalenga wanawake..cha kufanya ni kuwarekebisha pole pole kwa upole... bila kuwatukana au kuwajia kwa jazba!
sasa mimi huwa nabaki hoi nikiona mwanamke
anatumia maneno kama haya,
kumegwa.
kupakuliwa.
na mengineyo....
huwa nabaki mdomo wazi,unapokuta mwanamke mwenye heshima zake
anapotumia maneno hayo....