Impactinglife
Member
- Apr 15, 2019
- 41
- 99
Wakuu Habari!
Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda.
Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa alitaka waalimu wote wapimwe Kwa mitihani maalumu na baadaye mahojiano (oral interview) kabla ya kupata nafasi za kuajiriwa Lakini leo Utumishi wametoa kada za ualimu na baadhi ya masomo hayana mtihani wa mchujo kama waziri alivyotaka.
Natambua uhaba wa waalimu Lakini uhaba huo kama kweli lengo la serikali lilikuwa ku recruit walimu Bora kwanini baadhi ya masomo hayana mtihani wa mchujo. Hii double standard ya Utumishi inapaswa kujadiliwa.