Je uwakala wa M-pesa unalipa?

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Nina wazo la kufungua kibanda cha m-pesa, nina mil.1,
taratiBU zikoje?
Na vipi kuhsu faida, inatokeaje?
 
mkuu hakuna biashara hisiyolipa, ilimradi iitwe biashara na ifanyike kwa kuleta faida
ni mipango mizuri ya usimamiaji
kuna watu leo ukiwaeleza kuhusu biashara ya bodaboda, wanaiogopa kama njaa!
ila kuna wengine ndo kwanza kila leo wanawaza na wanazidi kuwekeza huko!!
 
Jaribu kufuatilia mchanganuo wake wa biashara hiyo mkuu, pita hata kwa wenye m-pesa uulizie
 
Inategemea na
1. Idadi ya wateja unaopata kwa kuwa kipato kinapatkan kwa miamala uliyofanya
2. Mamb mengne n madogo madogo kam mtaj, je unafuata tartb, usimamiz n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…