Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
Asante sana mkuuInaengage yenyewe ikisensi barabara nzito
Umeletewa mashine ya kusaga mahindi wewe bado unataka utwange kwa kinuKwangu Mimi naona kama sinema Tu kuniambia gari automatic inatumia 4WD sikuzote four wheel ya Kwenye manual transmission ndiyo yenye nguvu kama gari imenasa.
Tupe elimu zaidi kwanini umesema hivyo mkuuKwangu Mimi naona kama sinema Tu kuniambia gari automatic inatumia 4WD sikuzote four wheel ya Kwenye manual transmission ndiyo yenye nguvu kama gari imenasa.
Japo sizipendi automatic ila hiki ulichoandika ulikaririshwa hukuelewaKwangu Mimi naona kama sinema Tu kuniambia gari automatic inatumia 4WD sikuzote four wheel ya Kwenye manual transmission ndiyo yenye nguvu kama gari imenasa.
Kutokana na mfumo wa maisha wa Zama hizi lazimahUmeletewa mashine ya kusaga mahindi wewe bado unataka utwange kwa kinu
Sent using Jamii Forums mobile app
4wd Kwenye automatic inTupe elimu zaidi kwanini umesema hivyo mkuu
Aisee kweli asiyekujua hakuthamini,Japo sizipendi automatic ila hiki ulichoandika ulikaririshwa hukuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na mfumo wa maisha wa Zama hizi lazimah
4wd Kwenye automatic in
Aisee kweli asiyekujua hakuthamini,
Nimeanza kuendesha gari tokea mwaka 2001 tena manual nimeendesha Kwa kipindi kirefu Zaid.
Nikirud Kwenye comments Zenu najibu kama ifuatavyo:-
**Sikuzote automatic utaanza kuweka 4wd kuanzia pale kama barabara yenye matope yanapoanza Kwa mfano unapita sehemu ambayo unaona kabisa hapa unaweza kuzama unajiandaa mapema na 4wd, tofauti na manual unaweza kupita Kwenye tope na katikati ya tope kama utazama unaweza kuweka 4wd na ukaondoka na Gia namba 2-3 na gari ikatoka Kwa nguvu na msukumo wa matairi na engine
**Automatic kama imezama Kwenye tope au mchanga jaribu kuweka hiyo automatic utaona unavyopata shida,najua kuna gari za auto zenye 4 wd Kwa 24 hours yaani gari inaengage gear yenye mara baada ya kupita Kwenye barabara yenye tope,mchanga na mawemawe.
**Sehemu ambayo gari ya auto itapita Kwa kutumia 4wd basi Kwa gari ya manual transmission inaweza kupita bila kutumia kitu cha ziada pia kumbuka kuwa gari za auto hautaweza kuondoka na Gia namba 3 tofauti na manual
Habari wakuu
Naomba kujua kama hii gari ni 4WD maana kwenye zile icons kwenye dashboard kabla ya gari kuwaka kuna moja wapo ina alama ya 4WD lakini hakuna button kwenye gari ya kuengege.
Je, hii gari ni full time 4WD au ikoje wakuu?
Naomba kuelimishwa