maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,311 Reaction score 15,640 Feb 7, 2024 #1 Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Feb 7, 2024 #2 Ipo vizuri mpaka sasa
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Feb 7, 2024 #3 Nikionaga refa anakimbilia VAR uwa nacheka sana
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Feb 7, 2024 #4 Iko poa, ukiritimba umepungua sana. Malalamishi ya kuonewa pia yamepungua sana.
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 7,557 Reaction score 20,477 Feb 7, 2024 #5 UEFA should come to learn on proper use of Video assistant referee Bravo Bravo
Chief Kumbyambya JF-Expert Member Joined Jun 16, 2022 Posts 719 Reaction score 2,408 Feb 7, 2024 #6 Jibu rasmi hapo ni itakua au imeongeza ladha
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 6,346 Reaction score 14,546 Feb 7, 2024 #7 VAR ipo vizuri bila hiyo leo Bafanabafana tungekufa mbili bila
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Feb 8, 2024 #8 Inategemeana na matokeo ya uamuzi yalivyo athiri timu yako. Kama VAR kwa upande wa timu yako iliamua kitendo ambacho kilienda kuinufaisha timu yako unauoishabikia basi hapo lazima uifurahie VAR Ila kama ndio timu yako imekuwa victim kila tukio linaloamuliwa na VAR imekuwa ikiadhibiwa basi lazima uichukie. Ila in general VAR imekuja kuleta radha kamili ya soka, mshindi apatikane kwa njia za halali. Japo zipo baadhi ya acts unaona haziamuliwi ipasavyo na hili sio tatizo la VAR ni yule refa anayetafsiri hilo tukio. Ndio maana watu wanafikiria uwezekano wa kuja na mfumo wa roboti lenye AI ambalo litakuwa programmed litaweza kuamua mechi bila kuwa na mihemko.
Inategemeana na matokeo ya uamuzi yalivyo athiri timu yako. Kama VAR kwa upande wa timu yako iliamua kitendo ambacho kilienda kuinufaisha timu yako unauoishabikia basi hapo lazima uifurahie VAR Ila kama ndio timu yako imekuwa victim kila tukio linaloamuliwa na VAR imekuwa ikiadhibiwa basi lazima uichukie. Ila in general VAR imekuja kuleta radha kamili ya soka, mshindi apatikane kwa njia za halali. Japo zipo baadhi ya acts unaona haziamuliwi ipasavyo na hili sio tatizo la VAR ni yule refa anayetafsiri hilo tukio. Ndio maana watu wanafikiria uwezekano wa kuja na mfumo wa roboti lenye AI ambalo litakuwa programmed litaweza kuamua mechi bila kuwa na mihemko.
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Feb 8, 2024 #9 Bila VAR leo south alikuwa anakufa nyingi Pongezi sana kwa VAR
M Mbege10 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2014 Posts 871 Reaction score 1,475 Feb 8, 2024 #10 AFrica ina marefa bora sana kuliko ulaya basi tu. Hii michuano ya Afcon imenionesha hilo jambo kuanzia maamuzi ya marefa uwanjani bila Var hadi maamuzi ya marefa kwa kusaidiwa na Var. Simaanishi hakuna mapungufu la hasha ila tupo vizuri sana tofauti na michuano mingi ya ulaya inavyochezeshwa. Mfano hakuna ligi ulaya inaendeshwa kihuni kama Epl na wakati kuna Var lakini wale marefa hawana tofauti na wa Nbc premier league.
AFrica ina marefa bora sana kuliko ulaya basi tu. Hii michuano ya Afcon imenionesha hilo jambo kuanzia maamuzi ya marefa uwanjani bila Var hadi maamuzi ya marefa kwa kusaidiwa na Var. Simaanishi hakuna mapungufu la hasha ila tupo vizuri sana tofauti na michuano mingi ya ulaya inavyochezeshwa. Mfano hakuna ligi ulaya inaendeshwa kihuni kama Epl na wakati kuna Var lakini wale marefa hawana tofauti na wa Nbc premier league.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Feb 8, 2024 #11 Marefa wanabet sana,tatizo liko hapo
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Feb 8, 2024 #12 So special said: Ipo vizuri mpaka sasa Click to expand... Inaongeza furaha na kuipubguza
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 7,621 Reaction score 12,505 Feb 8, 2024 #13 Kiukweli VAR nimeanza kuielewa sasa Kwenye michuano hii imetumika vizuri sana kwa kufuta makosa mengi ambayo refarii na wasaidizi wake wasingeweza kuyaona bila VAR Mfano SA vs Nija bila VAR SA alikua anaumia bao nyingi lakini VAR ikamaliza utata Refarii pia wamekua wepesi kuomba VAR review pale wachezaji wanapo omba hivyo So far so good
Kiukweli VAR nimeanza kuielewa sasa Kwenye michuano hii imetumika vizuri sana kwa kufuta makosa mengi ambayo refarii na wasaidizi wake wasingeweza kuyaona bila VAR Mfano SA vs Nija bila VAR SA alikua anaumia bao nyingi lakini VAR ikamaliza utata Refarii pia wamekua wepesi kuomba VAR review pale wachezaji wanapo omba hivyo So far so good