johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nakumbuka mchungaji Mtikila RIP Siasa zake zilijikita kwenye Zanzibar iliyo Huru, Tanganyika iliyo Huru zote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mashambulizi ya leo bungeni kwa Mbowe ni ishara kwamba Wabunge Wengi hawana Mpango na Tanganyika.
Je, Mbowe atauweza mfupa wa Tanganyika akiwa na kiporo cha kesi?
Kimsingi Tanganyika ilikufa 1964 na kila 26 April ni siku ya kumbukumbu yake.