Je, video hii ni kweli au imerekodiwa baada ya jamaa kukimbia mkono wa nyani jana?

Je, video hii ni kweli au imerekodiwa baada ya jamaa kukimbia mkono wa nyani jana?

Kommando muuza madafu

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2022
Posts
3,216
Reaction score
7,254
Nimeiona hii video mtandaoni. Je ni kweli huyu jamaa aliyasema haya ya Simba kutokuja uwanjani kabla ya Jana au wameirekodi jana na kuifanya ionekane ya zamani?

1000024453.jpg
 
Du! Hizi ni za ndani kabisa. Kwa simba ni bora kunyan'anywa point mezani kuliko kufungwa mara tano mfululizo ingekuwa ni hatari kwa uongozi wa juu wa simba

Bodi ya ligi imeingia mtego wa simba kibubusa
 
Na nyie yanga hawa jamaa mliwatisha mno mara mnawapiga kwa mara ya tano mfulilizo, mara mnawapiga nane kavu

Hata kama ungekuwa wewe ungeleta team kweli uwanjani?
Hata mimi nisingeleta timu kabisa.

Nani anapenda aibu.
 
Na nyie yanga hawa jamaa mliwatisha mno mara mnawapiga kwa mara ya tano mfulilizo, mara mnawapiga nane kavu

Hata kama ungekuwa wewe ungeleta team kweli uwanjani?
Watu walipeleka timu tangu usiku hukuona geti lilizuiwa😆😆😆😆
 
I think imefanyika Makusudi ili simba tupate Muda Mrefu Mzuri wa Kujipanga na Mechi Iliyo Mbele Yetu ya a Masry Wachezaji na Mashabiki Wasivunjike Moyo
 
Back
Top Bottom