Je, video hii ni kweli au imerekodiwa baada ya jamaa kukimbia mkono wa nyani jana?

Mleta mada na walio comment wote akili zenu ni mbovu na ujinga wenu ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
 
Na nyie yanga hawa jamaa mliwatisha mno mara mnawapiga kwa mara ya tano mfulilizo, mara mnawapiga nane kavu

Hata kama ungekuwa wewe ungeleta team kweli uwanjani?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…