bakaria95 Member Joined Mar 4, 2015 Posts 6 Reaction score 3 Sep 26, 2018 #1 Je msichana mwenye vidonda vya tumbo anaweza kupata ujauzito?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Sep 26, 2018 #2 Kabisa
A asjo Member Joined Jun 4, 2018 Posts 20 Reaction score 18 Sep 26, 2018 #3 Unafikiri mtoto anakaa tumbo la chakula mzee?
Bbade JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 6,725 Reaction score 21,818 Sep 26, 2018 #4 Anaweza ndio, cha msingi zingatia Dawa unazotumia kwa ajili ya Vidonda vya tumbo zisiwe na madhara kwa mtoto tumboni/mimba...na pia kama zinakuruhusu kushika mimba wakati anazitumia...
Anaweza ndio, cha msingi zingatia Dawa unazotumia kwa ajili ya Vidonda vya tumbo zisiwe na madhara kwa mtoto tumboni/mimba...na pia kama zinakuruhusu kushika mimba wakati anazitumia...