Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Ukiangalia hii picha wewe unaona kitu?Nime ulizwa hili swali, kutokana na taaluma yangu, na huyu dada nikakimbia kuangalia ingredient, naona vitamin c, glutathione ila bado Nina mashaka sana nikaona nilete Kwa wataalamu husika watupe elimu Kwa manufaa ya wote, pliz wazee wa kutukana tafdhali hapa ni ulingo wa elimu si kubezana
Hapana ni sample tu huko TikTok yapo nimescreen shot tu ili upate ideaUkiangalia hii picha wewe unaona kitu?
Sorry haya si mafuta, ni vidonge ndo navoulizia, kwani nilijaribu kumuhoji yule dada anatumia, kadai hatljaona shida yoyote na hutumii miaka yote ni zoezi la wiki mbili au mwezi unaacha mazimaMafuta yoyote yanayobadili rangi ya ngozi og sio mazuri kwa ngozi! Japo mimi huwa naangalia kama hakuna hydroquinone ndio natumia maana unakuta lotion kali kama caro white ina asilimia 4.4-4,5% na mtu anaungua kama kaungua na moto! Hydroquinone inazuia melanin kutoka na hivyo husababisha kansa ya ngozi!
Vitamin c kazi yake ni kufanya ngozi ionekane bright na glutathione ni antioxidant ina kazi ya kufanya ngozi ku enlight! Na hizi huwa wanaweka kidogo tuili product uonekane safe na sio safe! Acids kama AHA/BHA, hydroquinone, tretinoin, au steroids ndio zinazofichwa humo!
Kwahivyo mchanganyiko ni mwingi mwanetu!
Si kweli, watu wengi tu Wanatumia ndio na zina matokeo lakini haviwezi kukosa madhara especially kwa mtu ambaye hajawa na watoto ni heri aviache mara moja!Sorry haya si mafuta, ni vidonge ndo navoulizia, kwani nilijaribu kumuhoji yule dada anatumia, kadai hatljaona shida yoyote na hutumii miaka yote ni zoezi la wiki mbili au mwezi unaacha mazima
Si kweli ishu ya kuoza huyo alikua na matatizo mengine, angesema labda kuharisha, kuumwa kichwa nk sawa ila kuoza hizo stori tu za mitaani hazina ukweli wowoteNasikia Kuna mtu alimeza akaamza kuoza huku anajiona..
Kila utachoingiza tumboni mwako kinaenda kwenye mfumo wako wa damu.kinagusa Kila organ yako mwilini.tumbo,utumbo,kibofu,Figo,ini,kongosho,nyingi,moyo,mapafu nk.
Kabla hujameza uwe unafikiri kwanza.
Hata paracetamol tunazo kunywa zina madhara madhara ninayo onhelea hapa ni Yale makubwa kama cancer ya ngozi, Figo ini, au kukosa uzaziSi kweli, watu wengi tu Wanatumia ndio na zina matokeo lakini haviwezi kukosa madhara especially kwa mtu ambaye hajawa na watoto ni heri aviache mara moja!
Sawa mezaSi kweli ishu ya kuoza huyo alikua na matatizo mengine, angesema labda kuharisha, kuumwa kichwa nk sawa ila kuoza hizo stori tu za mitaani hazina ukweli wowote
Nashukiru sana, mi ni mfanya biashara huyu dada kanizindua, kuhusu vidonge nimshauri, nikaona hii ni fursa, let me use it nivichukue nisambaze, but nikataka nipate experience, come-on hata paracetamol unayo kunywa ina madhara kwani usimywe dawa za kienyeji ambazo nazo huleta kidney failureUnachokitafuta utakipata tu! Kwani black beauty hazitafutwi tena siku hizi? Kwa nini usilainishe tu huo weusi wako?
ThanxSawa meza
Vizuri sana, dozi ya kifua kikuu ni mpaka miezi sita kwani Figo aziumii, mi nafikiri mkuu, kwenye inshu za uzazi ila huko kwingine ni MUNGU tu Kuna dogo aliugua Figo zilifeli nikiwa advance level kwenye kitaa Fulani hivi ajabu nikua dogo hakuwa mnywaji wa pombe nkIni na figo ndivyo vinavyofanya kazi ya kuchuja hizo kemikali.
Unapomeza high doses za Glutathione kwa muda mrefu, unazichosha figo zako.
Mdogoetu eeh! Mwambie anywe acha kutuchosha!Hata paracetamol tunazo kunywa zina madhara madhara ninayo onhelea hapa ni Yale makubwa kama cancer ya ngozi, Figo ini, au kukosa uzazi
Sawa asanten wakuuMdogoetu eeh! Mwambie anywe acha kutuchoshe!
Hiyo glutathione anayomeza, ikizidi mwilini bila uangalizi wa daktari, inaweza kusababisha Stevens Johnson Syndrome ngozi kuanza kubanduka kama umeungua na maji ya moto.Vizuri sana, dozi ya kifua kikuu ni mpaka miezi sita kwani Figo aziumii, mi nafikiri mkuu, kwenye inshu za uzazi ila huko kwingine ni MUNGU tu Kuna dogo aliugua Figo zilifeli nikiwa advance level kwenye kitaa Fulani hivi ajabu nikua dogo hakuwa mnywaji wa pombe nk
Nilivo sikia Mimi ni wiki mbili tu unaacha unaendelea na mambo mengine kama kunywa maji mengi, kula matunda mboga za majani na kifanya mazoezi Kwa nguvuHiyo glutathione anayomeza, ikizidi mwilini bila uangalizi wa daktari, inaweza kusababisha Stevens Johnson Syndrome ngozi kuanza kubanduka kama umeungua na maji ya moto.
Mtu anameza dawa za Tb ili aendelee kuishi, ila hivyo vidonge anameza ili apendeze lakini ndiyo vinamuharibu ndani kwa ndani.