Je, vidonge vya ku "cream" ngozi ni salama?

Yaani wewe unatafuta ushauri ila unatamani kusikia positivity tuu bila madhara, hakuna cha rafiki wala nini hapo naona ni kama umeanza kuleft group unatafuta changes za haraka
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Khaaah classmate, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora hata kujichubua kwa creams, na sio hivyo Vidonge, ni hatarii sana.

Nimeshuhudia mtu anakufa kisa hicho kitu. Lol
 
Nimecheka hizi reply 🤣
Hivi vidonge viko aina mbili na ili upate matokeo ni lazima utumie sio chini ya miezi miwili
Unakunywa vidonge viwili kila siku,
Side effects zake za papo kwa papo ni kupata kiu saana,so unahitaji kunywa maji mengi sana unapotumia
Side effects za mda mrefu sijajua ila kwa knowledge ya kawaida tu in the long run lazima figo ichoke tu!
Haya atakaehitaji jumla na reja reja zinapatikana!
 

Attachments

  • cc17b925-429b-4981-b68c-751e7d7e5ae8.jpeg
    160.9 KB · Views: 14
  • 881977d8-c8da-4216-b031-db3bc75a2540.jpeg
    164.8 KB · Views: 16
Sio salama achana navyo and be natural. Kumbuka ukimeza hzo dawa ili zije kwa ngozi lazima ini na figo zifanye kazi yake na hapo ujue moja kwa moja vikishindwa kufanya ndo pale unasikia mtu figo zimefeli au ini limeharibika mnaanza kukimbia kwa waganga ati umerogwa coz pombe hunywi waseme labda ni pombe. Kwa ufupi achana nazo sitaeleza zaidi ya hapo
 
Duuuh maelezo yameenyooka [emoji122][emoji122]
 
Reactions: naa
Basi mshauri kuwa apende rangi alioumbwa nayo, ajikubali. Asipende vitu alivokuwa hajajaaliwa navyo. Mwambie asifosi atapata madhara
Mtoa mada ndiye anataka kujichubua wala msihangqike kuwaza.

Hamuoni anavyopinga negative effects za hayo madawa? Kama nagekuwa amekuja kuuliza kwa niaba, angebeba ushauri na kumpelekea muhusika. Lakini sasa, anapinga kwa nguvu zote kana kwamba sisi ndio tumemuomba ushauri
 
Lengo la mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…