Rais Donald Trump ametoa tena hoja ya ubaguzi ambayo imeleta ufuatiliaji wa vyombo vya habari. Katika mkutano mkuu wa kampeni uliofanyika jimboni Oklahoma, rais Trump ameipatia virusi vya Corona jina la ubaguzi “Kong Flu”, ambalo limeleta swali kwamba je, vifaa vya utawala wa Trump ni “Ubaguzi” na “Kuwajibisha pande nyingine”?
Wakati mlipuko wa virusi vya Corona ukitokea nchini Marekani, rais Trump aliiita virusi hivyo kuwa virusi vya kichina ambaye alilaumiwa na kukosolewa na watu wa ndani na jumuiya ya kimataifa. Kutokana na shinikizo la ndani na nje, rais Trump amerudishia maneno yake. Lakini jina la “Kong Flu” limethibitisha kwamba kati ya kukabiliana na hali ya maambukizi na kuvutia kura nyingi zaidi, amechagua kura.
Rais huyo utovaa barakoa wakati wa kutoa hotuba, wafanyakazi sita wa timu yake ya kampeni kuthibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona, kutowalazimisha washiriki wa mkutano huo kuvaa barakoa, kuamuru kupunguza kasi ya upimaji…… Rais Trump amejaribu kwa mara nyingi kupuuza ubaya wa hali ya maambukizi nchini humo. Hoja zake za ubaguzi zimejaribu kuhamisha ufuatiliaji wa umma na kuficha uwezo duni wa kukabiliana na maambukizi.
Rais Trump anataka kuwaambia umma kwamba virusi hivyo havitishii kabisa, Marekani bado ni nchi yenye nguvu kubwa zaidi duniani. Lakini ukweli ni kwamba kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na chuo kikuu cha Johns Hopkins cha Mareknia hadi jana idadi ya vifo nchini Marekani imezidi milioni 2.2, huku idadi ya vifo ikikaribia laki 1.2. Idadi hizo mbili zote ni kubwa zaidi duniani. Na gharama kubwa za kushangaza za matibabu na upimaji nchini Marekani pia zimeendelea kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii, ambazo zimeonesha raia wa kawaida wa Marekani hawana machaguo mengi isipokuwa kukaa nyumbani tu.