Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidonda vya tumbo anaweza kupata yeyote, umri wowote hivyo vizuri unapokuwa na tatizo la kiafya wahi kituo cha kutolea huduma za afya pata vipimo na matibabu na maisha yaendelee.Jamani nataka kujua hakuna vijana under 30 mpaka 18 ambao wanaweza kuumwa ugonjwa wa vidonda vya tumbo?
Angalieni hivo vinavoitwa vidonda vya tumbo,nina ndugu yangu alikuwa anaambiwa anavo akatumia dawa kwa zaidi ya miaka 15,alipata bahati akatoka bongo na kwenda kwa wenye akili siku moja vilimzidia ilibidi aende hospitali walimpa dawa tangu siku hiyo hajaumwa tena, cha kushangaza walimwambia hana vidonda vya tumbo.Jamani nataka kujua, hakuna vijana under 30 mpaka 18 ambao wanaweza kuumwa ugonjwa wa vidonda vya tumbo?
Kuna mtoto ana miaka 8 mwaka jana aligundulika na vidonda vya tumboJamani nataka kujua, hakuna vijana under 30 mpaka 18 ambao wanaweza kuumwa ugonjwa wa vidonda vya tumbo?
Inawezekana sana na ni wengi sana miaka hii sababu ya lishe za hovyo. Na wengine wanapata below that age. Kuna hata wavulana na wasichana wa miaka 13,14,15 hadi 16 ambao wanapatwa na haya majanga ya vidonda.