je vijana waki Tanzania wanpenda kuajiriwa au kuwa na kazi zao binafsi

baji

New Member
Joined
Nov 9, 2016
Posts
2
Reaction score
3
husika na habari juu mimi ndugu yenu napenda tulijadili hili
 
husika na habari juu mimi ndugu yenu napenda tulijadili hili
kuajiriwa!
Maana wengi wanataka baada ya chuo wapate ajira mkopo wa gari, nyumba n.k na biashara ndogo ya kusapot mshahara!!
Biashara hustle nyingi... mkopo, wateja, gharama, kulipa wafanyakazi n.k na pia in biashara there is no security. inaeza kufa mda wwte.

husika na habari juu mimi ndugu yenu napenda tulijadili hili
kuajiriwa!
Maana wengi wanataka baada ya chuo wapate ajira mkopo wa gari, nyumba n.k na biashara ndogo ya kusapot mshahara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…